Msaada wa mgonjwa wa Ukimwi

Msaada wa mgonjwa wa Ukimwi

Juandeglo

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
1,040
Reaction score
2,806
Full blood picture in display Viral Load kwa maabara zetu za bongo?? Au ni vipimo viwili tofauti??
 
Hapana. Full blood picture haionyeshi Viral load.

Haionyeshi hata uwepo wa Virusi potelea mbali kiwango cha virusi.

Njia zitumikazo ni RT-PCR, bDNA na nyinginezo.
 
Full blood picture in display Viral Load kwa maabara zetu za bongo?? Au ni vipimo viwili tofauti??

Ni vipimo viwili tofauti.

Mpeleke mgonjwa kwenye kituo husika/CTC atapata vipimo husika au kuelekwezwa kwenye maabara ya karibu yenye uwezo huo pamoja na ushauri mwafaka.
 
Shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom