Salama ? tunaomba kufahamu MICROWAVE Iliyo bora kwa wale walio na uzoefu wa muda mrefu tafadhali, , , tulikuwa tunatumia moja aina ya SUMSANG imetusumbua sana kwa muda mfupi hata haikumaliza mwaka pamoja kuwa na guarantee ya mwaka mmoja ilishindikana,,,,, sokoni naona zipo LG, ELEKTRO, WESTPOINT, SHARP n.k.