Msaada Mkopo ASAP:
Wakuu nimekwama jamani naomba Msaada wenu.
Nadaiwa kiasi cha tzs 550,000/= ili Niweze kumalizia digrii yangu,
kwa sasa niko mwaka wa 3 (mwisho) na graduation ni mwezi ujao
mipango yangu yote imekwama hivyo basi nahitaji
kiasi hicho cha pesa kama mkopo na zamana nitakayo weka ni cheti changu
original cha form iv/vi
Natanguliza shukrani zangu.