Msaada wa mkopo wa Tshs Milioni 20, nitarudisha Mil 22.5 ndani ya siku 30

mluhilamkuu

Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
50
Reaction score
25
Wana Jukwaa Salaam.

Nina shida ya dharula na ya haraka sana ya Tsh. Ml. 20. Kuna project yangu moja imekwama na inahitaji pesa ya haraka sana. Nitarudisha ndani ya siku 30 kutoka siku nitakayopokea kwa interest ya 2.5 hivyo nitarudisha Tsh Ml.22,500,000/.

Dhamana naweka Nyumba yangu moja pamoja na Hati yake Original. Nyumba ipo Mivumoni, Dar es Salaam na kwa makisio ya harakaharaka ina thamani ya zaidi ya Tsh Ml. 80. Ukubwa wa eneo ilipo nyumba ni Square Meter 1200.

Mwenye uwezo wa kunisaidia naomba tuwasiliane kwa namba ya simu 0654 998326

Natanguliza Shukrani,

Mbarikiwe
 
Wana Jukwaa Salaam
Nina shida ya dharula na ya haraka sana ya Tsh. Ml. 20. Kuna project yangu moja imekwama na inahitaji pesa ya haraka sana. Nitarudisha ndani ya siku 30 kutoka siku nitakayopokea kwa interest ya 2.5 hivyo nitarudisha Tsh Ml.22,500,000/
Dhamana naweka Nyumba yangu moja pamoja na Hati yake Original. Nyumba ipo Mivumoni, Dar es Salaam na kwa makisio ya harakaharaka ina thamani ya zaidi ya Tsh Ml. 80. Ukubwa wa eneo ilipo nyumba ni Square Meter 1200.
Mwenye uwezo wa kunisaidia naomba tuwasiliane kwa namba ya simu 0654 998326
Natanguliza Shukrani, Mbarikiwe
Kuna kitu nyuma ya pazia (no free lunch) is the 'GOLDEN PRINCIPLE', Kaeni mbali. hakuna pesa inayokua kwa kasi hivyo.
 
Asee c uuze tu nyumba hata million 70 ukitoa million 20 inabaki 50 ambayo utaenda kununua nyumba mpya Tandale
 
aisee IQ zinatofautiana sana.

Kwa hiyo auze nyumba kisa kupata hela ya kumalizia project tu mkuu?
 
Riba imegawika makundi 73 kundi dogo lao kwenye makundi 73 dhambi take no saw a saws nå MTU kuzini nå mama ake mzazi.
 
KWELI ! Kwa kawaida lugha aliyotumia ni lugha ya Mtu anaetapeliwa , tena atakua ameshapoteza Mali nyingi sasa hili linakua ni pigo la mwisho . KUA MACHO NDUGU HAKUNA HELA ZA RAHISI , KUBANGUA NK ni uwongo....
 
Benki wamekataa kukupa pamoja na kuwa na hiyo nyumba?
Swali la msingi sana. ni hivi: huyu hio nyumba si yake kihalali.., anachukua pesa yako anakuachia nyumba isiyo yake upambane na mwenyewe..!
 
Wana Jukwaa Salaam.

Nina shida ya dharula na ya haraka sana ya Tsh. Ml. 20. Kuna project yangu moja imekwama na inahitaji pesa ya haraka sana. Nitarudisha ndani ya siku 30 kutoka siku nitakayopokea kwa interest ya 2.5 hivyo nitarudisha Tsh Ml.22,500,000/.

Dhamana naweka Nyumba yangu moja pamoja na Hati yake Original. Nyumba ipo Mivumoni, Dar es Salaam na kwa makisio ya harakaharaka ina thamani ya zaidi ya Tsh Ml. 80. Ukubwa wa eneo ilipo nyumba ni Square Meter 1200.

Mwenye uwezo wa kunisaidia naomba tuwasiliane kwa namba ya simu 0654 998326

Natanguliza Shukrani,

Mbarikiwe
Kumekucha! sijui niende bank nikakope nimpatie huyu jamaa anipatie super profit ndani ya mwezi? But it sounds like something crazy.
 
Back
Top Bottom