Msaada wa mpesa na tigo pesa

Msaada wa mpesa na tigo pesa

mr transcript

Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
56
Reaction score
7
Wakuu habari zenu kwa wale wazoefu wa hii huduma ya mpesa na tigo pesa na mpango wa kujiajili je inagharama gan kufungua kwa zote

nawasilisha
 
gharama ipo katika kupata till ambayo ni sim card anayopewa wakala kwa ajili ya kufanyia transactions,gharama zinatofautiana kulingana na super dealers wengine wanatoa uwakala kwa mil 1 tgo pesa na mil 2 kwa mpesa.vitu vya umuhim ni lesen ya biashara TIN nanber na kitambulisho kama vp nitafute kwa 0716030083
 
Nitafute kwa 0716030083,ntakufanyia kwa shilingi laki 2 kwa kila till 1
 
Back
Top Bottom