gharama ipo katika kupata till ambayo ni sim card anayopewa wakala kwa ajili ya kufanyia transactions,gharama zinatofautiana kulingana na super dealers wengine wanatoa uwakala kwa mil 1 tgo pesa na mil 2 kwa mpesa.vitu vya umuhim ni lesen ya biashara TIN nanber na kitambulisho kama vp nitafute kwa 0716030083