Msaada wa mtaji: Mimi ni mtaalamu wa kufunga CCTV Camera, nina Diploma ya IT, nahitaji mwezeshaji

Msaada wa mtaji: Mimi ni mtaalamu wa kufunga CCTV Camera, nina Diploma ya IT, nahitaji mwezeshaji

Joined
Jul 29, 2015
Posts
66
Reaction score
5
Nataka mtaji, mimi nina Diploma ya IT na ni mtaalamu sana kufunga CCTV Camera, kwahiyo nikipata mtu akiniwezesha nitashukuru au akinitafutia kazi ili nipate mtaji.
 
Nataka mtaji me nina diploma ya IT na nimtaarabu sana kufunga cctv camera kwa hyo nikipata mtu akiniweza nitashukulu au akinitafutia kazi ili npate mtaji.

dickson rwezaula , naomba nikujibu japo post yako ulivyoandika haihitaji mtu kukujibu kabisa.

Wewe ni mtaalamu wa kufunga cctv camera, unauzoefu wowote?? umeshawahi kufunga wapi na wapi?? Unahitaji mtaji kiasi gani?? soko la cctv canera lipoje? unathibitishia vipi mwekezaji kama pesa yake itarudi. Edit post yako weka hivyo vitu nilivyokuuliza watakuja sasahivi.

NB: Kuna wasomaji wa hapa jamiiforums ni unregistered users wangependa further discussion with you lakini hawawezi kukuPM hivyo andika na namba yako ya simu au email kama utaona ni sawa kwako ili waweze kukupata haraka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom