Msaada wa Mtaji wa biashara 250,000

Msaada wa Mtaji wa biashara 250,000

Mackay

Member
Joined
May 27, 2016
Posts
47
Reaction score
33
Salaam wakuu wanaJf. Mimi ni mwanafunzi katika chuo Kikuu Ardhi, mwaka wa tatu. nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kuuza na kupark na kusambaza mbogamboga na matunda, >nimeifanyia tathmini na kuona ni biashara ambayo inahitaji mtaji mdogo na inarudisha mtaji kwa haraka zaidi. Ninatarajia kuifanya biashara hii katika wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam. Ninaomba mtaji huo uwe katika A: mkopo ambao nitaurejesha kwa makubaliano baina yetu ukiwa na riba au pasi na riba, >nitakukabidhi vyeti vyangu vyote kwa kuwa ndiyo dhamana pekee niliyonayo
. B:unipatie mtaji niuzungushe nikulipe kutokana na faida nitakayopata kwa siku ama kwa wiki,
C: unisaidie kuanzisha biashara kisha niikuze na kuanza ya kwangu binafsi huku nikikuachia ile ya mwanzo kuwa yako.

Katika biashara hii nalenga wanajamii wanaonizunguka, watu katika mitandao ya kijamii na wapitaji pia. Uaminifu wangu ni mkubwa.
Kama una wazo lolote nitalipokea na kwa Wenye nia tafadhali nisaidieni kujikwamua kiuchumi. <
/>Ahsanteni.

Hii nzuri sana,sasa mzigo utakuwa unachukua sokoni au shamba?

baadhi shambani na baadhi sokoni.
Kwa sasa unapatikana wapi?...na mchanganuo kwa kifupi umekaaje?..kwa mfano nauli...kodi ya kibanda....kama bidhaa zikiharibika upo tayari kuwauzia wafugaji wa kitimduduz n.k.....wadhamini...manake pesa ina shet'wan mbaya.

napatikana Ubungo Msewe, kuna pesa kwa ajili ya meza 35000
mzigo nitaanza na wa sokoni Ilala na Buguruni,
baadae katika faida nitatumia kununua mifuko ya kuhifadhia na mahitaji mengineyo
hakuna kodi ya moja kwa moja ila mwenye eneo lake amekubaliana nami nimpe chochote.

bidhaa zikiharibika kuna wafugaji wa bata na nguruwe wanazihitaji.

napatikana Ubungo Msewe, kuna pesa kwa ajili ya meza 35000
mzigo nitaanza na wa sokoni Ilala na Buguruni,
baadae katika faida nitatumia kununua mifuko ya kuhifadhia na mahitaji mengineyo
hakuna kodi ya moja kwa moja ila mwenye eneo lake amekubaliana nami nimpe chochote.
Kwa wiki ninaweza kupata sh.ngapi isiyokuwa na mikwaruzo?

kwa siku faida inafikia 15000 —25000 kutegemea na wingi wa bidhaa na upatikanaji wake,
hivyo kwa wiki inafikia kuanzia 105000 na kuendelea, kama faida

Njoo PM, niachie namba yako tufanye biashara..ila tafuta mdhamini au hata kama ni mjumbe/serikali za mtaa inatosha

Salaam wakuu wanaJf. Mimi ni mwanafunzi katika chuo Kikuu Ardhi, mwaka wa tatu. nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kuuza na kupark na kusambaza mbogamboga na matunda, >nimeifanyia tathmini na kuona ni biashara ambayo inahitaji mtaji mdogo na inarudisha mtaji kwa haraka zaidi. Ninatarajia kuifanya biashara hii katika wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam. Ninaomba mtaji huo uwe katika A: mkopo ambao nitaurejesha kwa makubaliano baina yetu ukiwa na riba au pasi na riba, >nitakukabidhi vyeti vyangu vyote kwa kuwa ndiyo dhamana pekee niliyonayo
. B:unipatie mtaji niuzungushe nikulipe kutokana na faida nitakayopata kwa siku ama kwa wiki,
C: unisaidie kuanzisha biashara kisha niikuze na kuanza ya kwangu binafsi huku nikikuachia ile ya mwanzo kuwa yako.

Katika biashara hii nalenga wanajamii wanaonizunguka, watu katika mitandao ya kijamii na wapitaji pia. Uaminifu wangu ni mkubwa.
Kama una wazo lolote nitalipokea na kwa Wenye nia tafadhali nisaidieni kujikwamua kiuchumi. <
/>Ahsanteni.
Mungu akubariki huko uendapo

ukifanikiwa kupata mtaji boresha biashara yako weka vitunguu maji,karoti mungu atakusaidia utafanikiwa tu..

Back
Top Bottom