Msaada wa Mtaji wa biashara 250,000


Vipi ulifanikiwa kupata mtaji wa hiyo biashara yako?
 
Unatarajia kuianza lini pale utakapopata huo mtaji? Mimi nipo tayari kukupatia huo mtaji kwa makubaliano ya kipengele B kama ulivyoeleza kwenye maelezo yako. Kama ukiweza nitumie mchanganuo wa namna utakavyokua unaifanya hiyo biashara. Nitumie PM email au namba yako ya simu kwa mawasiliano zaidi. Asante.
 
Vipi swahiba tangu siku hiyo hadi leo hii umefikia wapi?
hongera sana kwa kuonyesha jinsi gani elimu ilivyokujenga kifikra... kuna wanachuo wenzako wanawaza kuajiriwa tu kisa hawana mitaji na hawajui wataipataje.
Kwanza vipi kuhusu chuo bado unasoma au umemaliza?

Wanawake kama nyie hata mtu akiowa lazima ajisifu amepata zari kutokana na uadimu wenu.
 
Samahan, una levo gani ya elimu?
 
Vp mamy ulishafanikiwa kupata huo mtaji?
 
nashukuru kwa moyo ulionesha,
Ila nimepata mdau humu humu amenipatia kazi ambayo itanisaidia kupata mtaji wa kufanya niichoainisha.

Vp mamy ulishafanikiwa kupata huo mtaji?
 
nashukuru kwa moyo ulionesha,
Ila nimepata mdau humu humu amenipatia kazi ambayo itanisaidia kupata mtaji wa kufanya niichoainisha.
Tutapenda utuletee mrejesho humu ....
 
Hongera sana ndugu yang ulifikiria wazo nzuri nakuleta maendeleo katika jamii .. nitafute kupitia hii no. 0744939000 au ni follow PM endapo kama ujapata uwo mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…