Msaada wa mtoto anashituka

mwasalipa

New Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
3
Reaction score
1
Habari wana jamvi naamini hapa ni kisiwa cha maarifa naomba msaada
Nina mtoto ana miezi mitatu na Sikh u ila anashitukashituka akilala wakati mwingine analia sana je tatizo ni nini naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kawaida mtoto wa umri huo kustuka na kulia kwa mida huo wa usku. Usihofu yanapta hayo akifikisha miez 4 na kuendelea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…