Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
Jamani salama wadau humu ndani,nina mtoto wa dadayangu anamatatizo yafuatayo,mtoto wake anamiaka miwili na mpaka sasa ajaweza kutembea mwenyewe bali anatambaa na kusimamia kitu,Na huyo mdada huwaga anampelekaga kwenye mazoezi kila wiki maeneo ya kigogo,docta kaandika kuwa ugonjwa wake unaitwa CP,sasa sijui maana yake nini CP,Na huwaga miguu yake imepinda na anatokwa na midenda mdomoni,Je mnampa msaada/ushauri gani huyo mdada