Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,520
- 1,504
Ndugu members wa jukwaa la sheria! Kama thread head inavyojieleza hapo juu! Nahitaji mwanasheria ambaye yupo songwe au mbeya au Dare es salaam,ambaye anaweza kunisaidia kufatilia madai ya fidia ya ajali niliyopata ya basi! Kesi imeisha na nakala ya hukumu nimeshaipata,bado viambatanisho baadhi kutoka polisi,ili niweze kupeleka bima husika kudai fidia,hivyo nahitaji mwanasheria wa kusimamia hayo madai ili nisipunjwe fidia!