Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,520
- 1,504
ndugu hujawa wazi kidogo kwenye swala la kesi kuisha. Nikesi ipi iliyoisha? Nani dhidi ya nani? Tarehe gani? Mahakama ipi?Ndugu members wa jukwaa la sheria! Kama thread head inavyojieleza hapo juu! Nahitaji mwanasheria ambaye yupo songwe au mbeya au Dare es salaam,ambaye anaweza kunisaidia kufatilia madai ya fidia ya ajali niliyopata ya basi! Kesi imeisha na nakala ya hukumu nimeshaipata,bado viambatanisho baadhi kutoka polisi,ili niweze kupeleka bima husika kudai fidia,hivyo nahitaji mwanasheria wa kusimamia hayo madai ili nisipunjwe fidia!
Ila ajali za ndege mbona haziihitaji kesi wahanga huwa wanapata haki zao, huku vipi?ndugu hujawa wazi kidogo kwenye swala la kesi kuisha. Nikesi ipi iliyoisha? Nani dhidi ya nani? Tarehe gani? Mahakama ipi?
pili kuhusu mwanasheria sio ngumu kumpata ni swala tu lamakubaliano. Kesi za bima zipo na zinahitaji ufahamu Ili uweze kupata fidia.
Ktk maelezo yako niwazi unahitaji mwanasheria Ili kukuongoza.
kama bado hujapata mwanasheria wakukuongoza njoo inbox. au nicheki
0768549206
Thanks mkuu, nitakuchek wakati ukifika! Ngoja nisave namba yakondugu hujawa wazi kidogo kwenye swala la kesi kuisha. Nikesi ipi iliyoisha? Nani dhidi ya nani? Tarehe gani? Mahakama ipi?
pili kuhusu mwanasheria sio ngumu kumpata ni swala tu lamakubaliano. Kesi za bima zipo na zinahitaji ufahamu Ili uweze kupata fidia.
Ktk maelezo yako niwazi unahitaji mwanasheria Ili kukuongoza.
kama bado hujapata mwanasheria wakukuongoza njoo inbox. au nicheki
0768549206
Hata huku wanalipa mkuu,kikubwa ufatiliaji na ufahamu wa jambo husikaIla ajali za ndege mbona haziihitaji kesi wahanga huwa wanapata haki zao, huku vipi?