Msaada wa mwenye ufahamu na savings accounts za benki zetu hizi

Msaada wa mwenye ufahamu na savings accounts za benki zetu hizi

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kiujumla nahitaji ku-invest pesa kwa kuweka kidogo kidogo kwa muda wa miaka mitano bila ya kutoa kiasi chochote huku nikitegemea faida baada ya miaka hio mitano.

Nahitaji msaada katika nyanja hizi kama uliwahi kuwekeza kwa namna hii.

Je, riba wana calculate kwa namna gani hadi mteja kupata riba faida hio?

Je, wastani wa riba faida inacheza asilimia ngapi?

Karibuni
 
UTT AMIS is the best.....Kuna nyuzi nyiiingi humu jukwaani zinaelekeza kuhusu UTT hivo pata wasaa wa kupitia na kujifunza

Faida ikiongezeka unaweza hamia kwenye government bonds
 
Back
Top Bottom