UTT AMIS would be the best
Sijutii kuweka hela zangu utt aise...pesa inaongezeka kuliko ningeacha bank kwenye makato ya kijinga na vishawish vya kuitumia ovyo..nahs utt ni sehem sahihi kwa investment za muda mrefu..UTT AMIS would be the best
Mnapoteza muda kuweka hela huko wekeni utt hamtojuta. Na ndo maana kwa faida za utt marketing yao ni chin chin kwasababu ya kutokuharibu soko la bank.Nbc accaut ya malengo