Msaada wa Mwongozo tafadhali...!

Msaada wa Mwongozo tafadhali...!

OGOPASANA

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2009
Posts
262
Reaction score
144
Habari wakuu, naomba mwenye kujua biashara ya kuuza na kusupply vitabu na vifaa vya maabara katika mashule mbalimbali anisaidie mwongozo kuhusuiana na biashara hii kwa yale anayoyajua. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom