Msaada wa nakala ya mkataba inayohusu ukodishaji wa vifaa

Msaada wa nakala ya mkataba inayohusu ukodishaji wa vifaa

Cachondo

Senior Member
Joined
May 6, 2019
Posts
144
Reaction score
139
Habari zenu waheshimiwa,

Naomba msaada wa nakala ya makubaliano (mkataba) inayohusu ukodishaji wa vifaa kama vile cameras na video production kwa ujumla, pia nakala ya makubaliano ya kazi (particularly kazi za sanaa yani baina ya msanii na meneja)

Ahsanteni sana, Mungu awabariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom