Msaada wa Namba ya HESLB

Emma Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
929
Reaction score
147
WanaJamvi nawasalimu kwa jina la Mungu muweza, Kwa mara nyingine tena najitokeza kuomba msaada wa namba ya yeyote kati ya hawa Director, Loan Allocations and Disbursements au muhusika yoyote wa pale bodi. Kwa maana nina shida na niko mbali na general line zao hazipatikani.. Kama kuna mtu ana personal namba zao naomba ani PM.
 
Msaada wa Namba ya HESLB

WanaJamvi nawasalimu kwa jina la Mungu muweza, Kwa mara nyingine tena najitokeza kuomba msaada wa namba ya yeyote kati ya hawa Director, Loan Allocations and Disbursements au muhusika yoyote wa pale bodi. Kwa maana nina shida na niko mbali na general line zao hazipatikani.. Kama kuna mtu ana personal namba zao naomba ani PM.​
 
Sasa Senior expert member swala hilo la namba ya director linahusiana vp na uchaguzi?
Acha kumisuse hili jukwaa mkuu.
 
Nipe namba yako nikutumie namba ya mmoja wa maafisa
 
Kama una shida sana ni bora kuonana na mtu face to face kuliko kuongea nae kwenye simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…