Msaada wa namna bora ya kupika Wali Maharage

Msaada wa namna bora ya kupika Wali Maharage

Zorginashao

Member
Joined
Aug 19, 2020
Posts
40
Reaction score
16
Wakuu samahani,

Naomba kuuliza namna Bora ya KUPIKA WALI MAHARAGE maana kila nikipika naona gesi inakuwa nyingi tumboni au nakosea wapi?
 
Njia moja wapo ni hii
IMG_20220630_074910_265.jpg
 
Weka majani ya mvuje (Curry Leaf) wakati wa kuyaunga pale,pia unasaidia kuongeza ladha kwa sababu Curry leaf ( mvuje) ni spice mzuri sana.
 
Maharage yakuloweka huwa yanakuwaga na ladha mbaya.
Halafu watu siku hizi imekuwa tabia wanayaloweka usiku kucha kwaajili ya kuyapika kesho yake kusave matumizi makubwa ya mkaa au gesi.
Hayawagi matamu kama yanayopikwa bila kuloweka.
Wanasema wanapunguza mda wa kuyapika et ukiloweka yanawai kuiva
 
Back
Top Bottom