Zorginashao
Member
- Aug 19, 2020
- 40
- 16
Wakuu samahani, naomba kuuliza namna Bora ya KUPIKA WALI MAHARAGE maana kila nikipika naona gesi inakua nyng tumboni au nakosea wapi
Hiv vyakula vya restaurant yaniNjia moja wapo ni hiiView attachment 2277123
Check vidonda vya tumbo na wakati wa mapishi punguza nyanyaWakuu samahani,
Naomba kuuliza namna Bora ya KUPIKA WALI MAHARAGE maana kila nikipika naona gesi inakuwa nyingi tumboni au nakosea wapi?
Maharage yakuloweka huwa yanakuwaga na ladha mbaya.Njia moja wapo ni hiiView attachment 2277123
Wanasema wanapunguza mda wa kuyapika et ukiloweka yanawai kuivaMaharage yakuloweka huwa yanakuwaga na ladha mbaya.
Halafu watu siku hizi imekuwa tabia wanayaloweka usiku kucha kwaajili ya kuyapika kesho yake kusave matumizi makubwa ya mkaa au gesi.
Hayawagi matamu kama yanayopikwa bila kuloweka.