Francis Jackson
Member
- Nov 15, 2016
- 46
- 19
Ndugu wanajamvi naomba Nianze kwa kuwasalimia HABARI ZA MAJUKUMU. Natumai muwazima Afya.
Nimekuja kwenu kuwataka Msaada wa mawazo, elimu ikiwezekana pia hata mfadhiri.
Naitwa Francis Jackson Nkerame napatikana Nyakitonto Kasulu Kigoma Tanzania.Nilihitimu elimu yangu ya kidato cha nne mwaka2010.Mwaka 2014 nilianzisha kituo cha masomo ya Ziada kwa shule za misingi hasa nnikilenga kuwasaidia Watoto wa wazazi wasiojiweza.Na ili kufanikisha hilo nikaruhusu na Watoto wa wazazi wenye uwezo wa Kati ili Ada ya hao inisaidie wakati wa kuwasaidia wale Watoto lengwa.
Mpaka sasa kituo kinawatoto jumla 53 kwa mchanganuo huu
Watoto wanaolipa Ada ni 30 Huku wasiolipa Ada ni 23(kwa maana ya wasiojiweza kiuchumi)
Mafanikio kituo ni makubwa Kwani Watoto wanaokuja kupata masomo kwenye kituo changu wanaongoza kiufaulu Kwenye madarasa yao shule.
CHANGAMOTO
nilivoingia kwenye tasnia hii ya elimu nimebaini kuwa kwa sababu ya umasikini Watoto wengi wanashindwa kupata elimu ambayo ni haki yao.
Na hii ndio sababu iliyonisukuma kuja kwenu nikiwataka mnipe mawazo,elimu ya namna ninavyoweza kufanya ili niweze kufikia lengo la kuwasaidia Watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Ikiwa ni pamoja Na kuwaomba mnielekeze namna ya kuandika mpango (proposal)ya kuomba ufadhiri.
Lakini pia nitashukru Kama hata kupitia jamvi hili nitaweza kupata wafadhiri moja kwa Moja.
Nitashukru ombi likijadiliwa Vema
0742070395.