Msaada wa namna ya kufika Baa ya Lubumbashi

Msaada wa namna ya kufika Baa ya Lubumbashi

Nataka kwenda lubumbashi Bar napitia wapi? Kutoka Kimara Suka?
Unataka kwenda kwa kutumia usafiri Gani mkuu?

Kuliko kusubiria mtu ambae kwasasa yupo Kasuru aje kukuelekeza kwa njia ya maandishi hapa JF, kwani I usiulize bodaboda yeyote aliyepo karibu na wewe, au hata utumie Google map maana hiyo Bar ipo kwenye ramani.
 
Nataka kwenda lubumbashi Bar napitia wapi? Kutoka Kimara Suka?
Unachukua gari hapo suka hadi mbezi mwisho alafu unatembea kidogo na barabara ya kama unataka kwenda goba ipo kwa juu kilima cha shule ya msingi mbezi ila ipo upande wa pili kushoto hata ukiwa hapo shule ya msingi mbezi ukiulizia unaelekezwa kale bata mzee malaya wa kujiuza pia wapo
 
Back
Top Bottom