Msaada wa namna ya kufungua chuo chini ya nacte

Joined
Aug 7, 2013
Posts
71
Reaction score
15
Habari wanajamvi

Naombeni msaada kwa anayeelewa mambo ya muhimu ya kuzingatia unapotaka kusajili chuo cha kozi mbali mbali chini ya NACTE. Tayari kina jina..kozi na baadhi ya majengo. Chuo bado hakijaanza.

Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…