Msaada wa Namna ya Kufungua Shirika/Kituo Cha Jamii Tanzania

Msaada wa Namna ya Kufungua Shirika/Kituo Cha Jamii Tanzania

TingTing

Member
Joined
Dec 20, 2009
Posts
92
Reaction score
4
Ndugu Wanajamii;

Tafadhaki naomba msaada wenu wa kujua jinsi ya kufungua shirika lisilo la kiserikali au kituo cha kusaidia jamii ijulikanayo kama "NGO, Trust Fund au Foundation". Ningependa kujua hati muhimu zinazohitajika hapa ikiwa ni pamoja na mahitaji yeyote katika usajili ili kufanikisha zoezi hili zima.

Lengo ni katika kuandaa mfuko wa kusaidia jamii ambao utakuwa unaongozwa na wanajamii husika wenyewe kwa kuwa Mwanza ndiyo inalengwa kuwa makao makuu ya kituo hicho ambacho kinatazamiwa kufunguliwa pindi kila kitu kitakapokuwa tayari ikiwa ni pamoja na usajili wake.

Nitashukuru kwa msaada wenu katika kunisaidia ufahamu wa vinavyohitajika na wapi pa kuanzia. Asanteni, Mungu Awabiriki Nyote.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Back
Top Bottom