@TANESCONilivuta umeme kwa nyumba kubwa ya mbele. Nguzo iliwekwa pembezoni mwa kiwanja. Jirani aliye nyumba yangu alivuta umeme wakamwekea nguzo. Lakini ili kukwepa mti ulio kwa jirani ,nyaya wakazipitisha katikati ya kiwanja juu ya msingi. Sasa msingi huo nimeujenga,lakini siwezi kuezeka Bila kuhamisha nyaya.
Wakuu, nafanyaje hapo?
Hujui ofisi za tanesco zilipo au sijakuelewaNilivuta umeme kwa nyumba kubwa ya mbele. Nguzo iliwekwa pembezoni mwa kiwanja. Jirani aliye nyumba yangu alivuta umeme wakamwekea nguzo. Lakini ili kukwepa mti ulio kwa jirani ,nyaya wakazipitisha katikati ya kiwanja juu ya msingi. Sasa msingi huo nimeujenga,lakini siwezi kuezeka Bila kuhamisha nyaya.
Wakuu, nafanyaje hapo?
Hilo swala ni kubwa sana usifanye mchezo nakushaur ufunge safari moja kwa moja hadi kwa wazir makamba hapo tu ndo utapata utatuzNilivuta umeme kwa nyumba kubwa ya mbele. Nguzo iliwekwa pembezoni mwa kiwanja. Jirani aliye nyumba yangu alivuta umeme wakamwekea nguzo. Lakini ili kukwepa mti ulio kwa jirani ,nyaya wakazipitisha katikati ya kiwanja juu ya msingi. Sasa msingi huo nimeujenga,lakini siwezi kuezeka Bila kuhamisha nyaya.
Wakuu, nafanyaje hapo?
Humu watakumalizia bando tu.watu wenyewe ndio hao wanakwambia uende kwa makamba,we nenda ofisi za tanescoNajua zilipo.
Ili humu kuna wataalamu nisikie mawazo yao kabla kutimba tanesco.
Ili niende nikijua ABC
hahahahawatu wenyewe ndio hao wanakwambia uende kwa makamba,
Aende na barua mkononi hawawezi kuja bila taarifa ya baruaHumu watakumalizia bando tu.watu wenyewe ndio hao wanakwambia uende kwa makamba,we nenda ofisi za tanesco
Tafadhali andika barua kwenda kwa meneja wa eneo lako au fika ofisi za TANESCO ujaze form ya huduma kwa wateja ili wataalamu wa TANESCO wafike eneo lako kukagua kama inaweza kuhamishika na gharama halisi ambazo utapatiwa ili kufanya kazi husikaNilivuta umeme kwa nyumba kubwa ya mbele. Nguzo iliwekwa pembezoni mwa kiwanja. Jirani aliye nyumba yangu alivuta umeme wakamwekea nguzo. Lakini ili kukwepa mti ulio kwa jirani ,nyaya wakazipitisha katikati ya kiwanja juu ya msingi. Sasa msingi huo nimeujenga,lakini siwezi kuezeka Bila kuhamisha nyaya.
Wakuu, nafanyaje hapo?
Watamnyoa kikavu bila maji na sabuniWasiliana na ofisi inayotoa huduma eneo hilo
[emoji23] aisee!Hujui ofisi za tanesco zilipo au sijakuelewa
He!! Gharama ni kwa mwenye eneo au mteja wenu?Tafadhali andika barua kwenda kwa meneja wa eneo lako au fika ofisi za TANESCO ujaze form ya huduma kwa wateja ili wataalamu wa TANESCO wafike eneo lako kukagua kama inaweza kuhamishika na gharama halisi ambazo utapatiwa ili kufanya kazi husika
Ahsante sana
Hii gharama ni kwa aliyeomba nguzo ihamishwe kutoka eneo lake kwa kuwa hawezi kuomba mwingine nje ya eneo husika.He!! Gharama ni kwa mwenye eneo au mteja wenu?
Gharama zake tena kuhamisha !!??Tafadhali andika barua kwenda kwa meneja wa eneo lako au fika ofisi za TANESCO ujaze form ya huduma kwa wateja ili wataalamu wa TANESCO wafike eneo lako kukagua kama inaweza kuhamishika na gharama halisi ambazo utapatiwa ili kufanya kazi husika
Ahsante sana
Hata kwangu chanika mmenifanyia haya tena toka nguzo inawekwa nawaambia hapa mnaweka juu ya kiwanja changu wale mafundi wananijibu "huwezi kutuzuia" kwahiyo nguzo imewekwa makusudi halafu baadae niingie gharama kuhiamisha kweli?Tafadhali andika barua kwenda kwa meneja wa eneo lako au fika ofisi za TANESCO ujaze form ya huduma kwa wateja ili wataalamu wa TANESCO wafike eneo lako kukagua kama inaweza kuhamishika na gharama halisi ambazo utapatiwa ili kufanya kazi husika
Ahsante sana