Msaada wa namna ya kujua Oil inaenda kilomita ngapi?

Msaada wa namna ya kujua Oil inaenda kilomita ngapi?

Kijana Mzeeeh

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
295
Reaction score
324
Habari wadau!

Naomba kuuliza ni kwa namna gani naweza jua engine oil inatakiwa kwenda umbali gani kabla ya kubadilishwa?

Mfano hii hapa pichani.
20200530_202344.jpg
20200530_202411.jpg
 
Hamna njia ya kujua zaidi ya kuwasikiliza wauzaji wa hio brand. Wengine wanakwambia 10,000KM.

Binafsi nimejiwekea utaratibu wa kubadilisha Oil kila baada ya 3000KM au ikifika miezi mitatu ata kama haijafika 3000km nabadilisha.
 
Habari wadau!

Naomba kuuliza ni kwa namna gani naweza jua engine oil inatakiwa kwenda umbali gani kabla ya kubadilishwa?

Mfano hii hapa pichani.View attachment 1463758View attachment 1463759
Zipo aina mbalimbali za oil na kila aina ina kiwango chake cha kufanya kazi mfano mineral oil unashauliwa uibadilishe kuanzia km 1500 hadi 2500 kama gari yako inatumika mara kwa mara na kama haitumiki mara kwa mara mfano ni mara moja kwa wiki unashauliwa umwage oil kila baada ya miez 6 haijalish imefikisha km 1500/2500

Ila kuna aina nyingine ya oil ambayo ni synthetic oil hii unashauliwa kubadilisha kati ya km 5000-7000 ila kama gari yako haitumiki sana unashauliwa kumwaga oil baada ya mwaka mmoja, hapa namaanisha endapo gari yako haitumiki mara kwa mara pengine kwa mwezi unaitumia sio zaidi ya siku 5-10

Kwa ushauli wa vilainishi vya magari+255719263074
 
Ukiangalia online synthetic oil ni km 10,000 hadi 15,0000 au mwaka mmoja. Hapo tumia quality oil kama mobil, castrol au liqi molly.

Hizi mineral ni 3000 miles ambayo ni kama km 5000.

Cha muhimu tumia specific oil kwa gari lako na utumie quality filter
Zipo aina mbalimbali za oil na kila aina ina kiwango chake cha kufanya kazi mfano mineral oil unashauliwa uibadilishe kuanzia km 1500 hadi 2500 kama gari yako inatumika mara kwa mara na kama haitumiki mara kwa mara mfano ni mara moja kwa wiki unashauliwa umwage oil kila baada ya miez 6 haijalish imefikisha km 1500/2500 ila kuna aina nyingine ya oil ambayo ni synthetic oil hii unashauliwa kubadilisha kati ya km 5000-7000 ila kama gari yako haitumiki sana unashauliwa kumwaga oil baada ya mwaka mmoja, hapa namaanisha endapo gari yako haitumiki mara kwa mara pengine kwa mwezi unaitumia sio zaidi ya siku 5-10
Kwa ushauli wa vilainishi vya magari+255719263074
 
Ukiangalia online synthetic oil ni km 10,000 hadi 15,0000 au mwaka mmoja. Hapo tumia quality oil kama mobil, castrol au liqi molly.

Hizi mineral ni 3000 miles ambayo ni kama km 5000.

Cha muhimu tumia specific oil kwa gari lako na utumie quality filter
Kabisa mkuu
 
Habari wadau!

Naomba kuuliza ni kwa namna gani naweza jua engine oil inatakiwa kwenda umbali gani kabla ya kubadilishwa?

Mfano hii hapa pichani.View attachment 1463758View attachment 1463759
Normally kwenye user manual, huwa wanaonesha aina ya oili ambazo zinafaa kwa injini husika kutokana na mfumo wa gari husika. Oili nyingi za hapa kwetu tunatumia moaka km 3000 unless iwe zile za bei ghali (kama Atlantic ama Castrol) ambazo tunatumia hadi km 5000.
 
Back
Top Bottom