Kijana Mzeeeh
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 295
- 324
Zipo aina mbalimbali za oil na kila aina ina kiwango chake cha kufanya kazi mfano mineral oil unashauliwa uibadilishe kuanzia km 1500 hadi 2500 kama gari yako inatumika mara kwa mara na kama haitumiki mara kwa mara mfano ni mara moja kwa wiki unashauliwa umwage oil kila baada ya miez 6 haijalish imefikisha km 1500/2500Habari wadau!
Naomba kuuliza ni kwa namna gani naweza jua engine oil inatakiwa kwenda umbali gani kabla ya kubadilishwa?
Mfano hii hapa pichani.View attachment 1463758View attachment 1463759
Wana product nzuri sanaKuna mtu ameshawahi tumia Liqui Molly?
Zipo aina mbalimbali za oil na kila aina ina kiwango chake cha kufanya kazi mfano mineral oil unashauliwa uibadilishe kuanzia km 1500 hadi 2500 kama gari yako inatumika mara kwa mara na kama haitumiki mara kwa mara mfano ni mara moja kwa wiki unashauliwa umwage oil kila baada ya miez 6 haijalish imefikisha km 1500/2500 ila kuna aina nyingine ya oil ambayo ni synthetic oil hii unashauliwa kubadilisha kati ya km 5000-7000 ila kama gari yako haitumiki sana unashauliwa kumwaga oil baada ya mwaka mmoja, hapa namaanisha endapo gari yako haitumiki mara kwa mara pengine kwa mwezi unaitumia sio zaidi ya siku 5-10
Kwa ushauli wa vilainishi vya magari+255719263074
Kabisa mkuuUkiangalia online synthetic oil ni km 10,000 hadi 15,0000 au mwaka mmoja. Hapo tumia quality oil kama mobil, castrol au liqi molly.
Hizi mineral ni 3000 miles ambayo ni kama km 5000.
Cha muhimu tumia specific oil kwa gari lako na utumie quality filter
Normally kwenye user manual, huwa wanaonesha aina ya oili ambazo zinafaa kwa injini husika kutokana na mfumo wa gari husika. Oili nyingi za hapa kwetu tunatumia moaka km 3000 unless iwe zile za bei ghali (kama Atlantic ama Castrol) ambazo tunatumia hadi km 5000.Habari wadau!
Naomba kuuliza ni kwa namna gani naweza jua engine oil inatakiwa kwenda umbali gani kabla ya kubadilishwa?
Mfano hii hapa pichani.View attachment 1463758View attachment 1463759