Msaada wa namna ya kupata mkopo Loan board!

Uduvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
738
Reaction score
518
Wapendwa nwasalim! Igweeee.

Wakuu nina mdogo wangu ambae alikuwa anasoma UDOM kwa baati mbaya kuna matatizo yalitokea katika familia yetu na ivyo alishindwa kufanya supplementary exams na matokeo yake akawa amedisco.sasa wakuu swali langu ni kwamba je kuna uwezekano akaendelea kupata mkopo endapo atafanikiwa kupata nafac ya chuo hapo mwakani? Na je ni taratibu gani azifuate ili kuweza kupata mkopo endapo atapata chuo hapo mwakani.nimeleta kwenu kwa kuwa naamini mtaweza kutusaidia ili mdogo wangu nae aweze kuendelea na chuo kama wengine.Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…