Msaada wa namna ya kutibu na ugonjwa gani huu?

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
1,414
Reaction score
868
Alhamisi jion wk hii, mshkaji wangu kaja geto.

Kwa hali isiyo ya kawaida akawa anajikuna sana kenye ANUS PART , kwa kuibia tu dizain flan nisimuone.

Lkn nikagundua hili ni tatizo Nikahoji kwa kujikaza, mbn unajikuna sana una tatizo gani? Alichojinijbu akasema.

Ni kwel, ni kwamba kama mwaka wa pili sasa, napata muwasho centre anus part nimejaribu dawa nying sana za fungus imeshindikana,

na hadi sasa nimekata tamaa.

Sasa watalaam nauliza huu ugonjwa ni ugonjwa gani na unatibikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…