Msaada wa namna ya kutoa pesa Paypal kwa Tanzania

Morgan Fisherman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
1,819
Reaction score
2,134
Habarini.

ngeomba kujua naweza tumia njia zipi kutoa hela kutoka paypal ukiwa Tanzania au ushaur wowote jinsi ya kutoa hela paypal bila ya account ya benki ya nchi husika.

asanteni.
 
paypal ukiwa Tanzania au ushaur wowote jinsi ya kutoa hela paypal bila ya account ya benki ya nchi husika.
Kuna option moja tu.
- Tafuta mtu mwenye paypal account ambayo inauwezo wa kupokea fedha, umtumie naye akupe cash kwa TZS.

- Kuna wadau wana paypal account na ziko verified ila hawakufungulia hapa nchini, kuna ambao walifungua wakiwa nje ya Tanzania.

- Kumbuka kwa Tanzania bado hatuna uwezo wa kufanya withdaw toka paypal.
 
Huwa nanunua pesa kutoka paypal, yani wewe unaweza kunitumia mimi hiyo pesa kisha ninakupa cash LAKINI nakata 15%
 
Habarini.

ngeomba kujua naweza tumia njia zipi kutoa hela kutoka paypal ukiwa Tanzania au ushaur wowote jinsi ya kutoa hela paypal bila ya account ya benki ya nchi husika.

asanteni.
Kama nyingi naona tumia hapo Kenya unaweza kufungua account na kutoa pesa pia
 
Bado unafanya hii shughuli boss?
Fungua payoneer wakishaithibitisha watakupa account ya bank ya First century, then we waombe wakupe account nyingine ya federal community bank nayo ya US. Then ijaze hiyo paypal kama withdrawl method. Ukiwithdraw pesa paypal itaingia payoneer, sasa hapo utaamua uitoe via atm au uiwithdraw kwenye local bank yako kama crdb, nmb n.k
 
Unaporegister nchi unajaza tz au US?
 
Yoyote tu mkuu. But huwezi weka paypal tz haipokei pesa
OK. Maana na mimi nina usd za kutosha paypal ila siwezi kuzitoa. Najiunga na payoneer kwa kufuata maelekezo yako mkuu
 
OK. Maana na mimi nina usd za kutosha paypal ila siwezi kuzitoa. Najiunga na payoneer kwa kufuata maelekezo yako mkuu
Yah jiunge payoneer sema kuna shida moja utaipata watakupatia acc ya century bank ili wakupe federal communitu acc sharti uwasiliane nao kwa kichat kitu ambacho hakiwezekan kama akaunt yako haijapokea walau $150
 
Kweli hiho ni vhangamoto, ila nvoja tupambane mkuu. Asante
 
Mimi napokea pesa daily kwa kutumia paypal.

Sajili PayPal kama uko Lesotho

Then sajili account ya wise.com harafu unganisha paypal na wise account utakuwa umemaliza

Hakikisha unafungua payapal business account sio personal account
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…