structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 907
Thanks mkuu so hayo ni kwa ajili ya nywele tu sio na yapo katika muundo ganiJaribu venus ni mazur yanaweza kuwa solution.
Ahsante sana. Ila hapo kwenye kusuka kuset na steaming nadhani kwa wa dada. Tatizo la afro American ni kuwa inachafua sana hata ukivua tishet tyari inakuwa ni ishu.Jaribu Afro American
Pia zingatia steaming angalau kila baada ya wiki mbili
Kuosha/set kila week
Na usuke angalau mara 3 kabla hujaritach
Kumbe wewe ni mwanaume... Ooh sorryAhsante sana. Ila hapo kwenye kusuka kuset na steaming nadhani kwa wa dada. Tatizo la afro American ni kuwa inachafua sana hata ukivua tishet tyari inakuwa ni ishu.
Dah yani ulidhani mimi ni upande wenu huo? Ila usijali thanks kwa ushauri wako pia.Kumbe wewe ni mwanaume... Ooh sorry
kwa watu wenye nywele nature hao inakuwaje mkuuJaribu Afro American
Pia zingatia steaming angalau kila baada ya wiki mbili
Kuosha/set kila week
Na usuke angalau mara 3 kabla hujaritach
Mimi upara unakuja kwa kasi naomba msaada, nitumie hair product gani kuzuia huo upara?Jaribu Afro American
Pia zingatia steaming angalau kila baada ya wiki mbili
Kuosha/set kila week
Na usuke angalau mara 3 kabla hujaritach
Mpendwa ! ukitaka kutunza na kuzistawisha nywele zako Naturally basi tumia kwa kupakaa Yourgat (maziwa ya mgando) mara 2 kwa wiki !! utaona tija la urembo wa nywele.Nimekuwa nikiwa na nywele ndefu (kichwani) kwa muda mrefu tu hasa kutokana na nature ya kichwa changu.
Sasa nywele mara ziwe ngumu mara zifubae rangi. Sasa kwa wale watalamu wa nywele ni mafuta gani mazuri ya kulainisha nywele pamoja na kuhifadhi rangi nyeusi ya nywele kutokufubaa?
Ungeweza kumpata yule mtaalam Kennedy anakuaga Flora show angekusaidiatatizo mi nywele zangu ziko kama za Jason Stantham sijui nifanyaje ili nywele zijae dah!
Ahsante sana mkuu hiyo nitaijaribu ila ina namna ya kutumia au unachukua tu maziwa kasha unasugulia kichwani?Mpendwa ! ukitaka kutunza na kuzistawisha nywele
zako Naturally basi tumia kwa kupakaa Yourgat (maziwa ya mgando) mara 2 kwa wiki !! utaona tija la urembo wa nywele.
good Luck
Mkuu vichwa vingine tukipiga low cut ni balaa madenge cha motto.....Nywele ndefu tabu sana, Mi ni low cut tu hata kitana sinaga