Msaada wa namna ya kuwachanganyia kuku dawa hizi

Msaada wa namna ya kuwachanganyia kuku dawa hizi

2in1

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
224
Reaction score
109
Wakuu habar zenu, nina vifaranga vyangu vya kuchi vimetotolewa jana,kuna mtu alinipa dawa za kuwapa ila nimeshindwa kujua namna gani ya kuwachanganyia. Amenipa Neoxychick kanambia niwachanganyie kweny maji kwa muda wa siku tano na Glucose niwape kwa siku mbili. Nikiangalia kwenye kipakti cha neoxychick wanasema uchanganye gram moja kwenye lita mbili za maji sasa shida yangu kubwa nimeshindwa kupima gram moja ili niichanganye humo na pia sijajua hiyo glucose naichanganya pamoja na neoxyhick au vipi
IMG_20181206_105644.jpeg
IMG_20181206_114209.jpeg
IMG_20181206_114216.jpeg
 
Back
Top Bottom