Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
thanxman google au ingia web ya booking online kwa precision
Return ticket ya Precision inacheza kati ya Tsh 380,000 na 400,000 kutegemea na upatikanaji wa nafasi.
Kukata tiketi ya ndege online ni njia bora ya kuokoa kiasi kikubwa cha fedha yako. Hata mimi nilinunua tiketi ya ndege online ( Tiketi.com ) kwa bei nafuu sana.