Msaada wa Ndoa ya Mkeka

Msaada wa Ndoa ya Mkeka

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
[emoji121]
WAKUU,

BILA SHAKA HIKI KIPENGELE CHA HALI NGUMU YA MAISHA KINAFAHAMIKA VEMA NCHINI KOTE!

SASA
HUKU KITAA KUNA MTOTO MZURI NI NOMA SANAAAAAAA!!!

MTOTO MWEUPEEEEEEE,
ANA SURA MATATAAA!!!
HALAFU KAFUNGASHIA HIPS KAMA TIMBALENDI ZA MGAMBO WA MALAWI!!!!

SASA AKITEMBEA-
WEEEEE!!!
MTOTO ANA_VIBRATE YAANI MPAKA KESHOKUTWA!

NA IFAHAMIKE VEMA KUWA HUKU COAST UKIBAINIKA UNAJISOGEZASOGEZA KWA MTOTO WA WENYEWE UNAPIGWA NDOA YA MKEKA ON THE SPOT-
NA UKIKATAA UNAOTESHWA BUSHA LA KILO 60+.
-----
SASA NIMEJITAHIDI KUTUMIA TEKNIKI NYINGI,
HADI YA KUJIPITISHA MBELE YA MAZA WAKE NA YULE MTOTO KWA LENGO LA KUPIGA TONGOZO
ILI WANIOZESHE NDOA YA MKEKA BILA GHARAMA YOYOTE-
ILA SIONI DALILI!!!!

SASA WAKUU
HAPA NITUMIE MBINU GANI M'BADALA ILI KU_WIN HII NDOA NINAYOITEGEMEA SANA KATIKA KU_SAVE UCHUMI BINAFSI,
YA MKEKA HII,
AMBAYO KIMSINGI HAIHITAJI MAHARI ZAIDI YA BUKU JERO TU YA UBANI??

NIPENI MBINU WAKUU!

IFAHAMIKE KUWA
LENGO NI IDUFULIWE NDOA YA MKEKA AMBAYO ITAKOSTI KAMA TSH. 1,500/= HADI 2,500/=.

[emoji121][emoji121][emoji121]
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji1] ngoja tufikilie iyo mbinu mbadala yakung'oa chombo
 
Mtongoze umpate kabisa awe mpenzi wako, halafu ingia nae ghetto kwako mara kwa mara frequently daily watu wa maskani na wambea wambea wakuone ukiingia nae ndani, ukipita mtaani mnashikana mikono halafu mnaongozana mpk ghetto (siku 3 nyingi).
Wakikudaka waambie moja kwa moja mm niko tayari kumuoa hata sasa hivi maswala ya sherehe ya harusi tutakuja kufanya miezi ijayo
 
we tongoza mpe mimba tu watukuozesha wenyewe ila Nina wasiwasi angalia wasije wakaihamisha kwako
 
Back
Top Bottom