Msaada wa network ya hoteli za Dar zinazonunua mboga

Msaada wa network ya hoteli za Dar zinazonunua mboga

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Posts
2,543
Reaction score
134
Kuna jamaa zangu wanalima mboga huku moro wanahitaji soko maana madalali wa kariakoo wamekuwa wakiwadhuluma sana.Please msaada waushauri na hiyo network.
 
ingependeza zaidi ukaweka description ya kutosha e.g.
  1. aina ya mboga
  2. quality ya hizo mboga
  3. supply capacity-- i.e. wanaweza ku-supply kiasi gani kwa siku au kwa wiki
 
Mkuu kupata contact ya kusauppy mboga kwenye hotel kubwa si swala la kitoto lina hitaji juhudi za hali ya juu mno.

Na mara nying supplyer huwa si wakulima yaani kuna watu wamepewa tenda so wao ndo huwa wana nunua kutoka kwa wakulima, tena si kwa kuwafuata bali kwa kwenda sokoni kunua directly.

Wanajua madhara ya kuingia na wakulima contact ya kusambaza, make hapo usanii ndo huwa hauishi mara mvua ilinyesha tukashindwa kwenda shambani, mara gari lilikamatwa na matrafiki, mara gari liliharibika njiani.

Visingizio havitaisha, na hii ina kuwa inakula kwa wenye hotel
 
Kanyagio na komandoo nawashukuru sana kwa mchango wenu
 
Back
Top Bottom