Mkuu kupata contact ya kusauppy mboga kwenye hotel kubwa si swala la kitoto lina hitaji juhudi za hali ya juu mno.
Na mara nying supplyer huwa si wakulima yaani kuna watu wamepewa tenda so wao ndo huwa wana nunua kutoka kwa wakulima, tena si kwa kuwafuata bali kwa kwenda sokoni kunua directly.
Wanajua madhara ya kuingia na wakulima contact ya kusambaza, make hapo usanii ndo huwa hauishi mara mvua ilinyesha tukashindwa kwenda shambani, mara gari lilikamatwa na matrafiki, mara gari liliharibika njiani.
Visingizio havitaisha, na hii ina kuwa inakula kwa wenye hotel