Msaada wa Nguo za dukani (readymade)

Felixtz

Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
55
Reaction score
17
Habali zenu wanajf, ni matumaini yangu mpo salama kwa kudra zake Mwenyez Mungu, nami ni mzima wa afya Alhamdullilahi.

Poleni na majukumu ya kila siku katika kutafuta riziki. Mimi nipo Mwanza karibu na stendi ya Buzuruga, nina mtaji wa milioni 2.5, sasa wazo langu la biashara ilikua ni kuuza nguo za dukani za jinsia zote.

Nilikua naombeni kujua bei za nguo hizo katika mikoa tofauti tofauti(napenda kutembeza kwenye mikoa tofauti)
Nguo ninazotaka kuuza ni kama:

Boxer, Vest, Tshirts, Ladies innerwears(panties,bra etc), Socks, Trouser etc. Shukran.


 

Attachments

  • images (5).jpeg
    22 KB · Views: 14
  • images (4).jpeg
    20.2 KB · Views: 12
Karibu nikuuzie jeans za kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…