kagombe JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 3,615 Reaction score 1,805 Nov 6, 2019 #1 Nauliza hivi, toka nipate number yangu na copy ya kitambulisho inachukua muda gani kupata kitambulisho halisi maana nikiwatumia ujumbe katika email yao najibiwa hivi: Ujumbe wako haujatufikia, tafadhali jaribu tena.
Nauliza hivi, toka nipate number yangu na copy ya kitambulisho inachukua muda gani kupata kitambulisho halisi maana nikiwatumia ujumbe katika email yao najibiwa hivi: Ujumbe wako haujatufikia, tafadhali jaribu tena.
Zimba XXV JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,649 Reaction score 3,779 Nov 6, 2019 #2 Kuna watu huu ni mwaka wa tano toka wajiandikeshe wana no (NIN) tu. Inasikitisha kwa kweli.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Nov 6, 2019 #3 Na usajili mwisho December
Tansy JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 3,946 Reaction score 8,949 Nov 6, 2019 #4 Nenda kwenye ofisi zao tu hapo .