Wanasumbua sana,nilishinda laki 4,usiku nalogin website haiload,hadi kesho yake,sometimes wanazingua,hivi kweli ukishinda kama mil 5 si wanaweza wakafuta kabisa account yakoNimeongea na mhudumu wa premier bet kwenye simu kasema saa kumi na mbili pesa wanaziachia
Ni kweli ndugu ulishinda laki 4?Wanasumbua sana,nilishinda laki 4,usiku nalogin website haiload,hadi kesho yake,sometimes wanazingua,hivi kweli ukishinda kama mil 5 si wanaweza wakafuta kabisa account yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipatie no zao mkuu..wajinga wameshikilia pesa zangu tangu jumamosi aiseeNimeongea na mhudumu wa premier bet kwenye simu kasema saa kumi na mbili pesa wanaziachia
Iwe mara ya kwanza ama ya mwisho nilihitaji msaada na wala si kujua kama mara ya kwanza wala ya mwishoNdo mara yako ya kwanza kuwithdraw pesa toka betting company na mpaka uzi ume kuja tufungulia kabisa??
Sent using Jamii Forums mobile app