Engineer incharge Member Joined Apr 3, 2017 Posts 12 Reaction score 11 Dec 24, 2017 #1 Habari za majukumu wakuu..naomba kujulishwa ni njia gani itapendeza zaidi ya kupokea pesa toka uchina kuja kwenye account ya benki (equity bank ) .
Habari za majukumu wakuu..naomba kujulishwa ni njia gani itapendeza zaidi ya kupokea pesa toka uchina kuja kwenye account ya benki (equity bank ) .
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Dec 24, 2017 #2 Subiri waje wabobezi
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,095 Reaction score 22,731 Dec 24, 2017 #3 Engineer incharge said: Habari za majukumu wakuu..naomba kujulishwa ni njia gani itapendeza zaidi ya kupokea pesa toka uchina kuja kwenye account ya benki (equity bank ) . Click to expand... Nenda kafungue account FNB wapo vizuri kwenye mambo ya international transaction and payments system. Equity wamekuwa wazembe sana siku hizi
Engineer incharge said: Habari za majukumu wakuu..naomba kujulishwa ni njia gani itapendeza zaidi ya kupokea pesa toka uchina kuja kwenye account ya benki (equity bank ) . Click to expand... Nenda kafungue account FNB wapo vizuri kwenye mambo ya international transaction and payments system. Equity wamekuwa wazembe sana siku hizi
okyo JF-Expert Member Joined Mar 16, 2013 Posts 2,003 Reaction score 1,507 Dec 24, 2017 #4 Mtumie swift code tu ya equity mkuu pesa zako zinakufikia
Troll JF JF-Expert Member Joined Feb 6, 2015 Posts 7,804 Reaction score 12,237 Dec 24, 2017 #5 Kwani Nyumba za Lugumi Bado zipo?