Msaada wa njia za kuuza plots za viwanda na uwekezaji

Msaada wa njia za kuuza plots za viwanda na uwekezaji

Sylivester Martine

New Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1
Reaction score
2
Fursa kwa wawekezaji wenye uhitaji wa eneo la kuwekeza nina eneo la square meter 900,000 lenye plots 20 kwa matumizi ya viwanda na uwekezaji eneo lipo Mlandizi(Ngeta), eneo liko mita 30 kutoka ilipo Reli ya kati na mita 40-50 kutoka ulipo mradi wa Reli ya kisasa ya SGR. Eneo limepimwa na Hati na vibali vyote vipo tayari.

Bei ni sh.4000 kwa mita ya mraba(4000Tsh/square meter).
 
Toa maelezo zaidi ueleweke mlandizi sehemu gan, Umbali kutoka Eneo lilipo mpaka morogoro road?..Vp kuhusu documents ..Una hati miliki. ..Eneo limepimwa ....Bei je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom