kituli one
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 409
- 307
Nitashukuru kama ntapata jina na mawasiliano ya lodge husika nifanye booking mapemaWakuu salama,naomba msaada wa kupata lodge nzuri na yenye bei nafuu kuanzia 20000 hadi 30000 maeneo ya jirani na muhimbili hoapitali.Mke na mwanangu wanakuja huko hospitali