Msaada wa oil ya Atlantic

Msaada wa oil ya Atlantic

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Wakuu wa hili jukwaa salama?

Hii oil ya Atlantic mwenye uzoefu nayo naomba atupe abc kidogo kabla sijaitumia.
IMG_6248.jpg
 
Ni miongoni mwa oil bora wenzake na akina Total na ile ya puma jina limenitoka.
 
iko pouwaa sema issue unatumia gari gani na service schedule ako inasoma vp bila kusahau perfomance ya gari ako
 
Usihangaike sana na oil. Weka TOTAL yako tu hapo gari itakuwa salama hadi uzee wako wajukuu wataikuta. Nadhani kwa wewe unatumia Total ya 5W-30........!

Hizo kwanza ni gharama halafu pia ni unecessary kwa gari yako.
kapewa ya bure
 
Back
Top Bottom