Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Unatumia gari gani?!
iko pouwaa sema issue unatumia gari gani na service schedule ako inasoma vp bila kusahau perfomance ya gari ako
Usihangaike sana na oil. Weka TOTAL yako tu hapo gari itakuwa salama hadi uzee wako wajukuu wataikuta. Nadhani kwa wewe unatumia Total ya 5W-30........!Toyota ist 70km
kapewa ya bureUsihangaike sana na oil. Weka TOTAL yako tu hapo gari itakuwa salama hadi uzee wako wajukuu wataikuta. Nadhani kwa wewe unatumia Total ya 5W-30........!
Hizo kwanza ni gharama halafu pia ni unecessary kwa gari yako.