Msaada wa password za Good Vision Smart TV 32

King Rabbit

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
1,145
Reaction score
4,293
Mwenye kujua password za goodvision 32" anasaidie aisee.

TV yangu ghafla toka majuzi nikiiwasha inareta message hii yani zimebaki dk 4 ijizime automatic yenyewe, nilifikiri kuifanyia system recovery lakini nilipofika hapo inadai password ambazo sijawahi kuweka na sizijui.

Msaada kwa wajuzi wa mambo hayo tafadhali inaninyima raha kweli maana inablink muda wote "remain time:4Min" na inaanza ku count down.



 
Default password mala nyingi hua ni
0000
1234
Jaribu
 

Hapo palipozungushiwa ni kiingia hapaingiliki mlango wa la chuma
 
Angalia kwenye kitabu cha hiyo TV kama unacho utazipata.

For TCL TV, master keys ni 0423. Unaweza jaribu bahati yako may be zikaingiliana.

Pia unaweza google or ukaangalia/ulizia kwenye official website ya kampuni ya TV hiyo.

Ahsante.
 
Kitabu kimepotelea wapi sijui mkuu ngoja nijaribu kuwauliza wao wenyewe.
 
Shukrani wadau wote kwa michango yenu baada ya kuperuzi sana google nafikiri nimepata tiba ya tabu yangu sa hivi mambo ni shwari kabisa.

Nimefanikiwa simply kwa kuzima Tv kwa kuchomoa power cable ya Tv na kuichomeka tena na message ile haijarudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…