Msaada wa Pediatrician mzuri hapo Dar

mbongombishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
593
Reaction score
308
Wakuu habari,napenda na nitashukuru sana kujua madaktari bingwa wa magonjwa ya watoto (Pediatrician) wazuri waliopo hapo jijini ili niweze pata huduma zao.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Dr. Anthony, ana kliniki yake pale kinondoni inaitwa kinondoni dispensary
 
Habari nzuri tuu, hebu nenda pale Morocco airtel Kuna dispensary ya Dr Massawe kwa kweli huduma yake kwa watoto ni nzuri, jina la hiyo dispensary nimelisahau kidogo lakini ipo maeneo hayo ya Morocco airtel
 
nashukuru mkuu,nitapatafuta tu,usijali
 
Dr. Anthony, ana kliniki yake pale kinondoni inaitwa kinondoni dispensary

My best dr, Anthony anamtibia mtoto hadi raha sijui ni imani nikimpeleka mwanangu kwa antony nahis ndo anapona haraka
 
My best dr, Anthony anamtibia mtoto hadi raha sijui ni imani nikimpeleka mwanangu kwa antony nahis ndo anapona haraka

Anamwangalia mtoto vizuri sana,pia hta ukimpigia cm anapokea na kukupa ushauri.
 
dr.koya pale kariakoo,docta mzuri sana ila ukubali foleni tu maana ni best hapa dar kwa watoto ndo maana kila mtu anaenda pale
 
dr.koya pale kariakoo,docta mzuri sana ila ukubali foleni tu maana ni best hapa dar kwa watoto ndo maana kila mtu anaenda pale

akhsante sana mkuu,kariakoo gani anapatikana mkuu?
 
Kwa dr Amir kariakoo hapa barabara ya umoja wa mataifa yupo bomba sana ila Inabid I uwahi kwani ana wagonjwa wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…