dist111
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 3,758
- 3,199
Wakuu mi nilikuwa nataka kujua Hivi haya Mashirika yanasaidia vipi Wanachama wao?
Manake unakuta mtu Umeanza kazi una 25yrs, unachangia huu mwaka wa kumi bado unakaa nyumba ya kupanga ukiwa umeenemeeka sana una Kavitz, Wakati michango yako inafika hata 30-60M's
Mi nadhani sheria yao ibadilishwe wawe wanasaidia wanachama wao hata kabla ya kustaaf! (Manake wanaishia kuwasumbua warithi tu kila siku nenda rudi....)