Nikiwa kama mfanyakazi wa moja ya mifuko naweza sema kwamba mifuko imekuwa kwa mfano inajenga nyumbaza gharama nafuu kwa manachama wake.Nadhani tatizo ni uwingi wa wanachama na awareness kuhusu uwepo wa fao hilo
ukipiga hesabu vizuri yak kiasi utachokuja kupata baada yaku staafu utakuta ni WIZI MTUPU.