Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mradi uwe na vivid evidence, siyo unakuja na story za kalikwenda kalirudi,eti mliaminiana nyinyi wa wili tu bila ushahidi madhubuti mezani! Na angalia kwanza kwa umakini,madai yasije angukia kwenye Jinai pia!!Je naweza kufungua citation kuwalazimisha warithi wafungue mirathi kwa vile nina maslahi na mali alizoacha baba yao?
ASANTE. Ingawa umekwenda mbali kidogo kinipa mwanga zaidi. Ombi langu ni je naweza kuomba mrithi/warithi wa marehemu (deceased) afungue/wafungue mirathi niweze kudai haki yangu? Nimejaribu kufanya research kwa Tanzania sijapata precedent/kesi kama hiyo (nyingi ni blood beneficiaries wa marehemu ndio wanaombaMradi uwe na vivid evidence, siyo unakuja na story za kalikwenda kalirudi,eti mliaminiana nyinyi wa wili tu bila ushahidi madhubuti mezani! Na angalia kwanza kwa umakini,madai yasije angukia kwenye Jinai pia!!
Tanzania unaweza kufungua wewe mwenyewe shauri la mirathi ukaomba uteuliwe kuwa msimamizi wa mirathi then ujigawie chako. Hii ikiwa tu ndugu wa marehemu hawana dalili za kufungua mirathi na wewe umewahusisha kuhusu madaiyako lakini hakuna matokeo chanya kwako.Je naweza kufungua citation kuwalazimisha warithi wafungue mirathi kwa vile nina maslahi na mali alizoacha baba yao?
Mh! njigawie? is that possible? sidhani! Naomba precedent inipe nguvu ya kufanya hicho.Tanzania unaweza kufungua wewe mwenyewe shauri la mirathi ukaomba uteuliwe kuwa msimamizi wa mirathi then ujigawie chako. Hii ikiwa tu ndugu wa marehemu hawana dalili za kufungua mirathi na wewe umewahusisha kuhusu madaiyako lakini hakuna matokeo chanya kwako.
it is possible. Wewe kuteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi na kuorodhesha madai yako katika kundi la wanaodai sehemu ya Mali ya marehemu.Mh! njigawie? is that possible? sidhani! Naomba precedent inipe nguvu ya kufanya hicho.
MIMI SIYO MTOTO WA MAREHEMU AU MTU WA KARIBU WA DAMU, ILA NADAI HAKI ZANGU AMBAZO BABA YAO NA WARITHI ALIZIACHA NA HAWATAKI KUFUNGUA MIRATHI. SASA NAWEZA KUFUNGUA MIRATHI? SHERIA INANKUBALIA KUFANYA HIVYO? THIS IS MY CONCERNit is possible. Wewe kuteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi na kuorodhesha madai yako katika kundi la wanaodai sehemu ya Mali ya marehemu.
soma section 33(1),(2) na (3). Hasa hasa sub- 3 ya PAEAMIMI SIYO MTOTO WA MAREHEMU AU MTU WA KARIBU WA DAMU, ILA NADAI HAKI ZANGU AMBAZO BABA YAO NA WARITHI ALIZIACHA NA HAWATAKI KUFUNGUA MIRATHI. SASA NAWEZA KUFUNGUA MIRATHI? SHERIA INANKUBALIA KUFANYA HIVYO? THIS IS MY CONCERN
AU NIUOMBE MAHAKAMA IWALAZIMISHE WARITHI WAFUNGUE MIRATHI NIPATE HAKI YANGU BY CITATION...
CITATION:
What is Citation?
A notice to appear in probate court in an estate matter, where some event, deadline, or dispute in the processing of the estate has occurred and must be reviewed by the court.
agreed! asante sana. Karanga mko wapi niwaone for action now!soma section 33(1),(2) na (3). Hasa hasa sub- 3 ya PAEA
Tupo SONGWE, huduma zetu ni mobile pia popote ulipo tunakufikiaagreed! asante sana. Karanga mko wapi niwaone for action now!
NITAKUJA INBOX TUYAJENGETupo SONGWE, huduma zetu ni mobile pia popote ulipo tunakufikia
Anzia kwa Mjumbe/Mwenyekiti wa mtaa au kwa mtendaji kama lalamiko,na swala lako kama ni la haki automatically utalikuta limeshaingia kwenye vyombo vya sheria!!MIMI SIYO MTOTO WA MAREHEMU AU MTU WA KARIBU WA DAMU, ILA NADAI HAKI ZANGU AMBAZO BABA YAO NA WARITHI ALIZIACHA NA HAWATAKI KUFUNGUA MIRATHI. SASA NAWEZA KUFUNGUA MIRATHI? SHERIA INANKUBALIA KUFANYA HIVYO? THIS IS MY CONCERN
AU NIUOMBE MAHAKAMA IWALAZIMISHE WARITHI WAFUNGUE MIRATHI NIPATE HAKI YANGU BY CITATION...
CITATION:
What is Citation?
A notice to appear in probate court in an estate matter, where some event, deadline, or dispute in the processing of the estate has occurred and must be reviewed by the court.
Lakini kumbuka Jinai haifi, one day yess!!Tanzania unaweza kufungua wewe mwenyewe shauri la mirathi ukaomba uteuliwe kuwa msimamizi wa mirathi then ujigawie chako. Hii ikiwa tu ndugu wa marehemu hawana dalili za kufungua mirathi na wewe umewahusisha kuhusu madaiyako lakini hakuna matokeo chanya kwako.