Msaada wa probate citation

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Je naweza kufungua citation kuwalazimisha warithi wafungue mirathi kwa vile nina maslahi na mali alizoacha baba yao?
 
Je naweza kufungua citation kuwalazimisha warithi wafungue mirathi kwa vile nina maslahi na mali alizoacha baba yao?
Mradi uwe na vivid evidence, siyo unakuja na story za kalikwenda kalirudi,eti mliaminiana nyinyi wa wili tu bila ushahidi madhubuti mezani! Na angalia kwanza kwa umakini,madai yasije angukia kwenye Jinai pia!!
 
Mradi uwe na vivid evidence, siyo unakuja na story za kalikwenda kalirudi,eti mliaminiana nyinyi wa wili tu bila ushahidi madhubuti mezani! Na angalia kwanza kwa umakini,madai yasije angukia kwenye Jinai pia!!
ASANTE. Ingawa umekwenda mbali kidogo kinipa mwanga zaidi. Ombi langu ni je naweza kuomba mrithi/warithi wa marehemu (deceased) afungue/wafungue mirathi niweze kudai haki yangu? Nimejaribu kufanya research kwa Tanzania sijapata precedent/kesi kama hiyo (nyingi ni blood beneficiaries wa marehemu ndio wanaomba
Kenya zipo
KAMA UNA PRECEDENT YA HAPA NAOMBA
 

Attachments

Je naweza kufungua citation kuwalazimisha warithi wafungue mirathi kwa vile nina maslahi na mali alizoacha baba yao?
Tanzania unaweza kufungua wewe mwenyewe shauri la mirathi ukaomba uteuliwe kuwa msimamizi wa mirathi then ujigawie chako. Hii ikiwa tu ndugu wa marehemu hawana dalili za kufungua mirathi na wewe umewahusisha kuhusu madaiyako lakini hakuna matokeo chanya kwako.
 
Mh! njigawie? is that possible? sidhani! Naomba precedent inipe nguvu ya kufanya hicho.
 
it is possible. Wewe kuteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi na kuorodhesha madai yako katika kundi la wanaodai sehemu ya Mali ya marehemu.
MIMI SIYO MTOTO WA MAREHEMU AU MTU WA KARIBU WA DAMU, ILA NADAI HAKI ZANGU AMBAZO BABA YAO NA WARITHI ALIZIACHA NA HAWATAKI KUFUNGUA MIRATHI. SASA NAWEZA KUFUNGUA MIRATHI? SHERIA INANKUBALIA KUFANYA HIVYO? THIS IS MY CONCERN

AU NIUOMBE MAHAKAMA IWALAZIMISHE WARITHI WAFUNGUE MIRATHI NIPATE HAKI YANGU BY CITATION...
CITATION:
What is Citation?

A notice to appear in probate court in an estate matter, where some event, deadline, or dispute in the processing of the estate has occurred and must be reviewed by the court.
 
soma section 33(1),(2) na (3). Hasa hasa sub- 3 ya PAEA
 
Tupo SONGWE, huduma zetu ni mobile pia popote ulipo tunakufikia
NITAKUJA INBOX TUYAJENGE

D.- Letters of Administration on Intestacy (ss 33-34)33. Letters of administration on intestacy

(1) Where the deceased has died intestate, letters of administration of his estatemay be granted to any person who, according to the rules for the distribution of theestate of an intestate applicable in the case of such deceased, would be entitled to thewhole or any part of such deceased's estate.

(2) Where more than one person applies for letters of administration, it shall be inthe discretion of the court to make a grant to any one or more of them, and in theexercise of its discretion the court shall take into account greater and immediateinterests in the deceased's estate in priority to lesser or more remote interests.

(3) Where no such person applies, letters of administration may be granted to acreditor of the deceased.
 
Anzia kwa Mjumbe/Mwenyekiti wa mtaa au kwa mtendaji kama lalamiko,na swala lako kama ni la haki automatically utalikuta limeshaingia kwenye vyombo vya sheria!!
 
Lakini kumbuka Jinai haifi, one day yess!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…